CDI MUSICA

Download Quick Rocka

11,021 Download Quick Rocka Full music MP3 Or MP4 Video and Audio Music Quick Rocka - Te Amo (Official Video) By SwitchMusic with Big 11,021 views stream songs and size 4.58 MB for 03:20

Music Quick Rocka 100% FREE!

Quick Rocka

★ CDI MUSICA helps download your favourite mp3 songs download fast, and easy. Quick Rocka mp3 download from CDI MUSICA. If you feel you have liked it Quick Rocka - Te Amo (Official Video) mp3 song then are you know download mp3, or mp4 file 100% FREE! Download your favorite mp3 songs, artists, remix on the web. Find the latest music here that you can only hear elsewhere or download here.

Rocka …. Quick

Kiutani tani maajabu flani unipege,
Chumbani mbani uno nipandishe ndege
Wahuni na mjani,me na wangu honey hizo dede.
Utamu flani mambo flani nikubebe.

Me nawe kama mfupa kwa fisi,tope kwa kambale
Umeniteka kiurahisi mtoto wa tandale,
Unanipenda nasikia raha,gusa pale pale.
Wachawi wanazidi kudiss,tandika tulale mama.

Te Amo ,mamy wee gusa pale pale
Te Amo , Mmmh tandika tulale mama
Te Amo , Mamy wee nagusa pale pale
Te Amo , Mmmh tandika tulale mama.

Chai sambusa umefunga funga
Aaah hii moto sasa (moto moto)
Ukinisusa ukinitupa balaa puupakacha
Usije nijaribia mama nitajifia
Mwenzako nakuzimia sana ntaumia
Usije nijaribia mama nitajifia (Oooh weeweee)
Mwenzako nakuzimia sana ntaumia .

Me nawe kama mfupa kwa fisi,tope kwa kambale (Aaah yeh yeh! )
Umeniteka kiurahisi mtoto wa tandale,
(Aaah yeh yeh! )
Unanipenda nasikia raha,gusa pale pale.
(Aaah yeh yeh! )
Wachawi wanazidi kudiss,tandika tulale mama.

Te Amo ,mamy wee gusa pale pale
Te Amo , Mmmh tandika tulale mama
Te Amo , Mamy wee nagusa pale pale
Te Amo , Mmmh tandika tulale mama.

Nikizunguka ukibinuka wee unakata (Mwali)
Mamy unakata (Chali)
Oooh baby unakata (Mwali)
Unavyochuma tembele mama
Mizungu unakata (Mwali)
Mamy unakata (Chali)
Oooh baby unakata (Mwali)

Te Amo , Mamy wee gusa pale pale
Te Amo , Mmmh tandika tulale mama
Te Amo , Mamy wee nagusa pale pale
Te Amo , Mmmh tandika tulale mama.

Switcher baba .

(C) Switch Music

Quick Rocka's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/quickrocka

Written & Performed by Quick Rocka

Follow QuickRocka on:
instagram.com/QuickRocka
twitter.com/QuickRocka

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: instagram.com/slidedigitaltz

★ Tap play to play the songs in the playlist...